Promosheni ya Drops and Wins (hapa inajulikana kama“ Promosheni”) Itaanza tarehe 4 Machi 2026 hadi tarehe 3 Machi 2027 (Siku zote zikijumuishwa). Hii ni Promosheni ya Mtandao inayotoa zaidi ya jumla ya Tsh 72,500,000 kupitia zaidi ya Zawadi 5,000,000 na inajumlisha ushindani wa moja kwa moja kupitia Mashindano ya kila siku, Pamoja na mfumo wa kukusanya Zawadi kupitia Gurudumu la Wiki la Drops and wins
Namna inavyofanya kazi
- Michezo inayoshiriki: Michezo yote iliyokuwepo kwenye sehemu ya Drops and Wins tab katika tovuti na majukwaa yetu yatajumuisha Promosheni hii (Michezo inayostahiki)
MASHINDANO YA KILA SIKU
- Kila siku Shindano litaanza saa 12:01 jioni hadi Saa 11:59 Jioni siku inayofuata. Mashindano haya yamepangwa katika mzunguko wa kila wiki kwanzia Jumatano hadi Jumatan ikiwa ni jumla ya mashindano saba (7) kila siku kwa wiki.
- Ili kushiriki, unatakiwa kujisajii mara moja kwa kila wiki kwenye mchezo wowote utakaoshiriki kupitia dirisha la matangazo ya promosheni litakalojitokeza. Baada ya kujisajili, utakuwa umeingia moja kwa moja katika mashindano yote ya kila siku ya wiki hiyo.
- Hakuna pointi za mashindano zitakazotolewa kwa uchezaji uliotokea kabla ya kuingia, na pointi hazitatolewa kwa kurudi nyuma.
- Ukiamua kujiondoa, utakuwa umetoka tu kwenye mashindano ya wiki hiyo na unaweza kujisajili tena kwa wiki zinazofuata.
- Ukikubali kushiriki mashindano ya kila siku, unakubali kufuata sheria na masharti haya.
Jinsi ya kushinda matangazo ya kila siku.
- Ili kufuzu kupata Zawadi,ni lazima ucheze kwa pesa taslimu katika mchezo wowote unaoshiriki kwa kiwango cha Dau la Tsh 435(kwa kila dau litakalofuzu) na kukusanya angalau point moja kwenye ubao wa ushindani.
- Ikiwa kiwango cha chini cha dau hakipo kwenye mchezo husika, kiwango kinachofuata cha juu kitahesabiwa kama Dau lililofuzu.
- Alama zitahesabiwa kama jumla ya vizidishi vya ushindi vilivyopatikana wakati wa Mashindano ya Kila Siku. Pointi hupatikana kwa kila mzunguko unaochezwa kwa dau lililofuzu inayosababisha kiongezaji ushindi (ushindi gawanywa kwa kiasi cha dau) kikizidi moja (1). Vizidishi vya ushindi vyenye desimali zaidi ya 0.5 huzungushwa kwenda juu hadi namba kamili inayofuata, wakati vile vilivyo chini ya 0.5 huzungushwa kwenda chini hadi sifuri (0).
- Pointi za mashindano hurudi sifuri (0) mwanzoni mwa kila Shindano jipya la Kila Siku.
- Ni bashiri 5,000 za mwanzo pekee zilizowekwa kwenye mchezo wowote unaoshiriki ndizo zitakazohesabiwa kwenye ubao wa washindani (“Kikomo cha Bashiri zinazostahili”). Kikomo hiki kikishafikiwa, bashiri zinazofuata hazitakusanya pointi za mashindano.
Unachoweza kushinda kwenye mashindano ya kila siku:
- Zawadi zitatolewa kama Pesa taslimu kulingana na nafasi zilizopo kwenye ubao wa Ushindani mwishoni mwa kila Shindano la Kila Siku. Washindi wanaorodheshwa kwa mpangilio wa kushuka, kuanzia mwenye alama nyingi zaidi hadi mwenye alama chache, kulingana na jumla ya alama zao.
- Kuna Zawadi mia tano (500) kila siku kwenye ubao wa ushindani. Zawadi zote zimefafanuliwa na kuonyeshwa kwenye sehemu ya “Zawadi” katika menyu ya matangazo inayopatikana katika mchezo huo.
- Mashindano husahishwa kwa wakati halisi, hivyo unaweza kuona ubao wa Ushindani moja kwa moja ndani ya mchezo wakati wowote unapocheza michezo inayoshiriki.
- Ubao wa ushindani umetengenezwa katika michezo husika na inasahihishwa kwa wakati halisi. Kila mchezaji ataona maendeleo yake yakiwa yameorodheshwa kama “wewe” kati ya vitambulisho (IDs) vya wachezaji wengine.
GURUDUMU LA KILA WIKI
- Gurudumu la Drops & Wins la kila wiki litapatikana katika michezo ya slot iliyochaguliwa kuanzia Jumatano hadi Jumatano inayofuata. (kwenye kipindi cha promosheni).
- Ili kushiriki katika Gurudumu la Kila Wiki, ni lazima ujiunge au ubonyeze kitufe cha kushiriki kila wiki katika mchezo wowote unaoshiriki kupitia dirisha la promosheni. Ukishajiunga, utastahili kushiriki kwa wiki yote.
- Ukiamua kujitoa, utaondolewa kwenye Gurudumu la wiki hiyo pekee, lakini unaweza kujiunga tena kwa wiki zinazofuata.
- Ukichagua kushiriki katika Gurudumu la kila Wiki, unakubali umekubaliana na vigezo na Masharti haya.
Jinsi ya kushinda kwenye Gurudumu la kila wiki
- Ili kustahiki kupata zawadi, ni lazima uweke mzunguko (spin) wad au la pesa halisi la kiwango chochote (kulingana na kiwango cha chini cha dau la mchezo) (“Dau Linalostahiki) kwenye michezo inayoshiriki na ukusanye vipande vyote vitatu (3) vya gurudumu.
- Vipande vya gurudumu vinatumika tu kukuwezesha kustahiki kupata zawadi, na havitoi zawadi nyingine yoyote mpaka gurudumu likamilike.
- Ukikusanya kipande kimoja (1) au viwli (2) bila kukamilisha gurudumu hauta stahiki kupata Zawadi.
- Vipande vya gurudumu hutokea bila mpangilio kwenye kila Dau Linalostahiki, huku kikitoka kipande kimoja kikitolewa wakati mmoja. Huu ni mfumo wa kukusanya hatua kwa hatua, ukishapata kipande cha kwanza, unakuwa unastahiki kupata vilivyobaki hadi utakapokusanya vyote vitatu (3).
- Mara baada ya vipande vitatu kukusanywa Gurudumu la wima la screen nzima litaonekana Utahitajika kugusa au kuvuta chini ili kupokea zawadi yako.
- Kipande cha kwanza:Unaweka dau la TSH 300 na unapata kipande cha kwanza. Hapo hakuna Zawadi bado.
- Kipande cha pili:Unaweka dau la TSH 700 na unapata kipande cha pili. Bado hakuna zawadi;bali unaweza kupata kipande cha tatu.
- Kipande cha tatu:Unaweka dau la TSH 300 na unapata kipande cha tatu. Hapo Gurudumu linakuwa limekamilika.
- Zungusha Gurudumu: Gusa skirini kuzungusha na upokee Zawadi 1.
- Unaweza kufuatilia ukusanyaji wa vipande vyako kupitia game interface ya Promosheni. Idadi ya vipande vya promosheni huonekana kwa juu kushoto kwenye alama ya promosheni, ikionyesh jumla ya vipande vilivyokusanywa kati ya vinavyohitajika kukamilisha gurudumu.
- Ikiwa Vipande vilivyokusanywa havijakamilika mpaka mwisho wa Gurudumu la wiki havitahamishwa Kwenda wiki inayofuata bali utaanza upya.
Mfano kwaajili ya ufafanuzi zaidi:
Zawadi unazoweza kushinda kwenye Gurudumu la kila WIKI
- Kuna jumla ya zawadi Elfu tisini na sita mia tisa (96,900) zinazotolewa kila wiki katika kipindi cha promosheni. Zawadi hizi hutolewa kwa mfumo wa vizidishi vilivyopangwa kulingana na dau la ushindi (Kizidishi kilichopatikana × dau), ambapo dau halipaswi kuzidi Tsh 2,900 ili kulipwa zawadi.
- Zawadi za vizidishi hutumika kwa dau linalostahiki hadi kiwango cha TSH 2,900 ambapo litasababisha kupatikana kwa kipande cha mwisho cha gurudumu (Dau linalostahiki).
- Aina zote za Zawadi na idadi yake zitaonyeshwa ndani ya sehemu ya “Zawadi” inayopatikana ndani ya mchezo au kwenye jedwali lililo hapa chini:
- Ikiwa Utaweka Super Spin, Double Chance Bet au Triple Chance Bet (“Ante Bet”), zawadi yako italipwa kwa kiwango hicho hicho cha dau au kwa thamani ya TSH 2,900 endapo dau lako litazidi kiwango cha juu kilichowekwa. Upatikanaji wa Ante bet inategemea mamlaka iliyopo.
- Unaweza kufuatilia maendeleo yako ya ukusanyaji wa vipande vya gurudumu Pamoja na ushindi wako na ushindi wa wachezaji wengine kwa wakati halisi kupitia interface ya promosheni ya kila mchezo unaoshiriki.
- Lazima ukamilishe hatua zote zilizoelezwa hapo juu ili kupokea Zawadi. Unaweza kushinda kiwango cha juu cha Zawadi mbili (2) tu katika kila kipindi cha Gurudumu la wiki.
| Idadi | Zawadi |
|---|---|
| 1 | 100,000X |
| 3 | 10,000X |
| 6 | 5,000X |
| 10 | 1,000X |
| 30 | 500X |
| 50 | 100X |
| 300 | 50X |
| 5,000 | 20X |
| 22,500 | 10X |
| 69,000 | 5X |
VIGEZO NA MASHARTI
- Mashindano ya kila siku yanapatikana kwenye sloti zilizochaguliwa ikiwa ni Pamoja na toleo la mini games kwenye vyumba vya Bingo na matoleo mengine na zinaweza kuchezwa kwenye kifaa chochote.
- Kikomo cha dau linalostahiki huwekwa upya mwanzoni mwa kila mashindano mpya.
- Ikiwa utanunua kipengele cha bonsai (Bonasi/Mizunguko ya bure) katika mchezo woowte unaoshiriki (“Nunua Bonasi”) au weka dau la Super Spin, Double Chance Bet, or Triple Chance Bet, kizidishi cha ushindi wako kitahesabiwa kulingana na dau husika. Bonasi buy itategemeana na mamlaka iliyopo.
- Raundi za Bonasi Buy zitahesabiwa kama raundi moja kwenye mchezo kwa madhumuni ya alama, bila kujali idadi ya mizunguko iliyomo kwenye kipengele hicho.
- Ikiwa kipengele cha bonsai au free spins kitaanzishwa na ukafikia kiwango cha juu cha kizidisha ushindi kabla ya kumaliza mizunguko yote ya bure, mizunguko iliyobaki itafutwa. Ushindi wote uliopatikana hadi wakati huo bado utahesabiwa kwenye alama zako.
- Ushindi wa Jackpot wa aina yoyote hautahesabiwa kwenye ubao wa washindi.
- Ikiwa kipengele cha kucheza kiautomatiki kimetumika, hakitasimamishwa au kuachwa ikitokea utahama na kutoka kwenye mchezo unaoendelea ili kuangalia menyu ya promosheni ya mashindano.
- Katika tukio la sare, wachezaji wenye idadi sawa za point watapangwa kulingana na nani aliyefikia alama wa kwanza.
- Wakati kutakuwa na mzozo kuhusu uchaguzi wa washindi, uamuzi wa mwongozo wa mdhibiti husika utakuwa wa mwisho.
- Betika ina haki ya kuthibitisha, na mamlaka husika, nyaraka zozote za utambulisho zilizowasilishwa, kabla ya kulipa zawadi yoyote.
- Betika inahifadhi haki ya kutumia majina, rekodi za redio, picha za video na picha za washindi kwa madhumuni ya matangazo, kampeni za uuzaji, na uendeshaji wa promosheni hii
- Vigezo na mashatri ya Pragmatic Play yatatumika katika usimamizi wa promosheni hii.
- Pale ambapo mfumo kwa bahati mbaya utazalisha ushindi wa zaidi ya kiwango cha juu kilichoruhusiwa, kiasi chochote kilicho juu ya kikomo hiki kitachukuliwa kuwa batili na hakitastahili kulipwa.
-
Betika inahifadhi haki ya kufuta ushindi wowote kwa hiari yake, na
kuchukua hatua zozote zinazohitajika katika hali zifuataz:
- Hitilafu ya mfumo au programu; au
- Shaka kuwa kuna Shughuli Iliyokatazwa inayoendelea.
- Betika haihakikishii upatikanaji wa Ofa hii kwenye vifaa na vituo vyote au upatikanaji wake wakati wote.
- Pragmatic Play na Betika inahifadhi haki ya kurekebisha, kusimamisha au kughairi Matangazo ya Mtandao, Mashindano ya Kila Siku na/ au Zawadi ya Kila Wiki, ikijumuisha sheria na masharti yoyote yanayohusiana, wakati wowote na bila taarifa. Marekebisho yoyote kama haya hayataathiri wachezaji ambao wamejijumuisha isipokuwa kama marekebisho yanahitajika ili kudhibiti/kuzuia ulaghai na tabia nyingine zisizo halali.
- Betika haidhamini upatikanaji wa Promosheni hii kwenye vifaa na njia zote au upatikanaji wake kila wakati.
- Betika ina haki ya kufuta ushindi wowote wa Aviator, kwa uamuzi wake
pekee, na kuchukua hatua zozote zinazofaa ikiwa ni pamoja na:
- Hitilafu ya mfumo au programu; au
- Shaka kuwa kuna shughuli zilizopigwa marufuku zinafanyika.
- Promosheni hii inatolewa "kama ilivyo," bila dhamana ya aina yoyote, iwe ya wazi au iliyowekwa, ikiwemo bila kikomo, dhamana ya umiliki, kutovunja haki, kutokuwa na usumbufu, usahihi wa data, upatikanaji, muda, ubora wa bidhaa, kufaa kwa lengo maalum, zaidi ya dhamana ambazo haziwezi kuondolewa kwa mujibu wa sheria zinazotumika kwenye Masharti na Vigezo ya Jumla na Sera ya Faragha ya Betika
- Promosheni hii inategemeana na masharti na vigezo ya Pragmatic play yanayopatikana hapa Pamoja na Masharti na vigezo ya Jumla yanayopatikana hapa. Iwapo kutakuwa na mgongano kati ya Masharti na Vigezo vya jumla na Masharti na Vigezo ya Pragmatic play, Masharti na vigezo ya Jumla vitatumika.
