TAFADHALI KUMBUKA: Hii ni promosheni ya kushirikiana ambapo idadi ya washindi, zawadi, vizidishi, raundi au odds zinaweza kubadilika. Jukumu husika na zawadi zitaonyeshwa ndani ya mchezo.
Betika ina haki ya kusitisha kwa muda Mashindano za kawaida za Aviator wakati wowote kunapokuwa na promosheni nyingine ya Aviator inayoendelea. Katika hali hiyo, Mashindano za kawaida zitaanza tena mara tu promosheni husika itakapomalizika.
Jinsi ya kushiriki:
- Wateja wanapaswa kukubali (opt-in) kushiriki katika kila Mashindano.
- Weka dau la pesa taslimu linalokidhi kiwango cha chini kilichowekwa kwa kila Mashindano ili kushiriki (Dau Linalokubalika).
- Kila mzunguko wa Mashindano una kipindi cha kujiunga. Baada ya kipindi hicho kumalizika, washindi wataonyeshwa kabla ya Mashindano inayofuata kuanza, ili kuongeza hamasa na ushiriki.
MASHARTI NA VIGEZO VYA MATUMIZI
- Wateja lazima wakubali kushiriki katika kila promosheni.
- Wachezaji wanaweza kufuatilia maendeleo na mafanikio yao kwa kila Mashindano kupitia ubao wa ushindi na mfumo wa ndani ya mchezo.
-
Zawadi:
- Zawadi za pesa zitawekwa kwenye akaunti siku inayofuata baada ya kushinda kabla ya saa 12:00 jioni.
- Mizunguko ya bure itawekwa siku hiyo hiyo ya ushindi. Ni ushindi pekee unaotokana na mizunguko ya bure ndio utaingizwa kwenye akaunti ya mteja. Kiasi cha dau lililotumika kwenye mzunguko ya bure hakirudishwi.
- Muda wa matumizi: Mizunguko ya bure itaisha siku hiyo hiyo uliyowekewa.
- Hakuna kikomo cha idadi ya promosheni ambazo mchezaji anaweza kushiriki au kushinda. Mchezaji anaweza kushinda promosheni moja zaidi ya mara moja.
- Ikitokea sare, mchezaji aliyejiunga mapema zaidi ndiye atakayepangwa juu kwenye orodha.
- Ikiwa mfumo utazalisha kimakosa ushindi unaozidi kiwango cha juu kinachoruhusiwa, kiasi kilichozidi kitachukuliwa kuwa batili na hakitalipwa.
-
Kwa ushirikiano na Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Betika ina
haki ya kufuta ushindi wowote na kuchukua hatua stahiki katika hali
zifuatazo, ikiwa ni pamoja na:
- Hitilafu ya mfumo au programu; au
- Shaka kuwa kuna shughuli zilizopigwa marufuku zinafanyika.
- Iwapo kutakuwa na shughuli zisizoruhusiwa, Betika inaweza kuchukua hatua yoyote inayoona inafaa kulingana na hali hiyo, ikiwemo lakini sio tu kufuta ushindi au miamala, kusimamisha akaunti, kupunguza utoaji pesa, na/au kuzuia anwani ya IP.Iwapo kutakuwa na mgogoro kuhusu Promosheni hii, maamuzi ya Bodi ya Michezo ya Kubahatisha ya Tanzania yatakuwa ya mwisho.
- Betika haidhamini upatikanaji wa Promosheni hii kwenye vifaa na njia zote au upatikanaji wake kila wakati
- Masharti ya promosheni yanaweza kufutwa, kuahirishwa au kubadilishwa muda wowote na Betika kwa ushirikiano na Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania.
- Betika ina haki ya kuondoa promosheni hii wakati wowote bila taarifa.
- Kwa kushiriki katika promosheni hii, wateja wanakubali kufuata masharti haya.
- Promosheni hii inatolewa “kama ilivyo” bila dhamana yoyote, iwe ya wazi au ya kudokezwa, ikiwa ni pamoja na lakini siyo tu usahihi wa data, upatikanaji, muda, au kufaa kwa matumizi maalum, isipokuwa pale ambapo sheria husika zinahitaji vinginevyo.
- Promosheni hii inafuata masharti ya mchezo wa Aviator pamoja na Masharti ya Jumla ya Betika. Endapo kutakuwa na mgongano wowote, Masharti ya Jumla yatatumika kwanza.
